Logo UNICEF Innocenti
Office of Research-Innocenti
menu icon

Ujana Salama

Mradi wa nyongeza ya fedha (cash plus) unaohusu ustawi na mabadiliko salama kwa vijana - Matokeo ya tatihimini ya kati
Ujana Salama: Mradi wa nyongeza ya fedha (cash plus) unaohusu ustawi na mabadiliko salama kwa vijana - Matokeo ya tatihimini ya kati

Publication series:
Innocenti Research Briefs

Download the report

(PDF, 1.05 MB)(PDF, 1.04 MB)

Abstract

Mradi huu wa majaribio wa ‘Cash Plus’ unaohusu Ustawi na Mabadiliko Salama na Yenye Afya kwa Vijana nchini Tanzania, kwa ufupi “Ujana Salama”, unalenga kuimarisha maisha ya vijana wa vijijini. Vijana hawa wa umri wa balehe wanatoka katika kaya maskini na wanakabiliwa na hatari nyingi za kiafya na kiuchumi. Mradi huu unatekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (Tanzania Social Action Fund (TASAF)) na kuendeshwa kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (Productive Social Safety Net (PSSN)). Mpango huo unawalenga vijana wa umri wa balehe katika kaya zinazonufaika na Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (ruzuku inayojumuisha uhawilishaji pesa, Ujenzi au ukarabati wa miundombinu na kuimarisha njia za kujiingizia kipato katika kaya). Msaada wa kiufundi unatolewa na UNICEF Tanzania na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS).
Available in:
Swahili

Related Content

Ujana Salama: Mpango wa nyongeza ya fedha (cash plus) unaohusu ustawi na mabadiliko salama kwa vijana  - Matokeo ya mzunguko wa3 tathimini
Publication

Ujana Salama: Mpango wa nyongeza ya fedha (cash plus) unaohusu ustawi na mabadiliko salama kwa vijana - Matokeo ya mzunguko wa3 tathimini

“Ujana Salama” (‘Safe Youth’ in Swahili) is a cash plus programme targeting adolescents in households receiving the United Republic of Tanzania’s Productive Social Safety Net (PSSN). Implemented by the Tanzania Social Action Fund (TASAF), with technical assistance of the Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS) and UNICEF Tanzania, the ‘plus’ component includes in-person training, mentoring, grants and health services. The impact evaluation studies the differential impact of the integrated programme (cash plus intervention targeting adolescents) with respect to the PSSN only. It is a mixed methods study, including baseline (2017), Round 2 (2018), Round 3 (2019) and Round 4 (2021) surveys. This brief summarizes findings from the Round 3 survey, which was conducted one year after the training, three months after the mentorship period, and one to two months after grant disbursement.
Ujana Salama: Cash Plus Model on Youth Well-Being and Safe, Healthy Transitions – Midline Findings
Publication

Ujana Salama: Cash Plus Model on Youth Well-Being and Safe, Healthy Transitions – Midline Findings

This brief provides midline findings from the impact evaluation of a cash plus model targeting youth in households receiving the United Republic of Tanzania’s Productive Social Safety Net (PSSN). Implemented by the Tanzania Social Action Fund (TASAF), with technical assistance of the Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS) and UNICEF Tanzania, the programme aims to improve livelihood opportunities and facilitate a safe transition to adulthood. The 'plus' component included training on livelihoods and sexual and reproductive health (SRH)-HIV, mentoring and productive grants, as well as linkages to youth-friendly health services. The impact evaluation is a longitudinal, mixed methods study. The midline analysis was conducted immediately after training (before mentoring, disbursement of productive grants and health facility strengthening).
Ujana Salama: Cash Plus Model on Youth Well-Being and Safe, Healthy Transitions – Round 3 Findings