Ujana Salama
Mpango wa nyongeza ya fedha (cash plus) unaohusu ustawi na mabadiliko salama kwa vijana - Matokeo ya mzunguko wa3 tathimini

Publication series:
Innocenti Research Briefs
Download the report
(PDF, 0.86 MB)(PDF, 0.84 MB)
Related Project(s):
Abstract
Mradi wa nyongeza ya fedha “Cash plus’ wa majaribio unaohusu Ustawi na Mabadiliko Salama kwa Vijana unaotekelezwa Tanzania, kwa kifupi “Ujana Salama”, unalenga kuimarisha maisha ya vijana wa vijijini. Vijana hawa kutoka kaya maskini wanakabiliwa na changamoto nyingi za kiafya na kiuchumi, zikiwemo kukatisha masomo shuleni, mimba za utotoni, maradhi yaambukizwayo kwa njia ya ngono, ukatili, unyanyasaji na unyonyaji.